Mindblown: a blog about philosophy.
-
Tafakari ya kufikirisha 22/365-2025
Kuwekeza kiasi kidogo cha fedha kwa muda mrefu kwa kipindi kirefu kinafanya kazi kimiujiza lakini hakuna mtu ambaye anapenda kupata utajiri kidogokidogo by Kelvin Kelly
-
Tafakari ya kufikirisha 21/365-2025
Siyo kile ulichonacho bali jinsi gani unavyokitumia ndiyo kinaleta utofauti kwenye maisha na matokeo kwenye maisha by Epictetus
-
Tafakari ya kufikirisha 20/365-2025
Hakuna ukomo kwa kiasi gani tunaweza kuboresha kwenye kile ambacho tumekianza kukifanya. Hakuna ukomo kwenye ubora au kuboresha kitu by Kelvin Kelly
-
Tafakari ya kufikirisha 19/365-2025
Ukimkopesha mtu chukulia kama umempa zawadi mtu huyo. Kama atakurudishia utashangazwa na kufurahi ikiwa kinyume utakuwa umeridhika na utoaji wa zawadi yako by Kelvin Kelly
-
Tafakari ya kufikirisha 18/365-2025
Siyo kila jicho linaona kinachoonekana kuna vingine hauwezi kuviona kwa macho ya kawaida
-
Tafakari ya kufikirisha 14/365-2025
Hauhitaji muda mwingi kwa sababu tayari muda wote tayari unao unatakiwa kuwa nao; unachohitaji zaidi ni umakini by Kelvin Kelly
-
Tafakari ya kufikirisha 13/365-2025
Mara zote ukiwa na vitu viwili vya kuamua kipi cha kufanya kati ya vitu viwili chagua kimoja ambacho kitaleta mabadiliko by Kelvin Kelly
-
Tafakari ya kufikirisha 12/365-2025
Kuna nyakati ambazo unapitia kuishi kwenyewe kunakuwa ni jambo la ujasiri pekee by Seneca .
-
Tafakari ya kufikirisha 11/365-2025
“Jithamini na jiambie” Bila kujali nilivyo ama wanachosema wengine, mimi ni wa thamani sana” Nina uwezo mkubwa sana ndani yangu kufanya makubwa
-
Tafakari ya kufikirisha 9/365-2025
li uweze kuona mambo mazuri, unapaswa kuamini mambo ni mazuri.Na sehemu rahisi ya kuamini mambo ni mazuri ni kuwa mtu wa shukrani.Pale unaposhukuru kwa mambo yanayoendelea kwenye maisha yako, unaifanya akili yako itafute mambo mazuri zaidi ambayo utashukuru kuwa nayo. Epuka sana kuwa mtu wa kulaumu na kulalamika, kwani utaona mambo mengi zaidi ya kulaumu…
Got any book recommendations?