Mindblown: a blog about philosophy.
-
Tafakari ya kufikirisha 47/365-2025
Kipimo pekee cha akili ni kama umepata kile kitu ambacho unakihitaji katika maisha by Naval Ravikant
-
Tafakari ya kufikirisha 46/365-2025
Alama ya kweli ya akili ní kutambua kuwa watu wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti ambayo yanaweza kutofautiana na yako, lakini hautakiwi kushambulia au kuwakosoa hao watu kutokana na tofauti hiyo by Anthony Pompliano
-
Tafakari ya kufikirisha 45/365-2025
Bahati ni dhana ya kisaikolojia wala siyo ya kimehesabu. Tafiti zinaonesha unakuwa na bahati kwa kufikirisha zaidi kwamba una bahati ni hali ya kiakili
-
Tafakari ya kufikirisha 44/365-2025
Mtu yeyote anaweza kuweka malengo lakini washindi ní wale ambao wanapata mafanikio pale ambapo mipango inakuwa imevurugika by Anthony Pompliano
-
Tafakari ya kufikirisha 43/365-2025
Shujaa ni yule anayeweza kudhibiti hisia zake kuliko yule anayewashinda adui zake ; kwa sababu ushindi mgumu kupata ni ushindi wa nafsi yako by Aristotle u
-
Tafakari ya kufikirisha 41/365-2025
Bahati ni dhana ya kisaikolojia wala siyo ya kimahesabu. Tafiti zinaonyesha unakuwa na bahati kwa kufikiria zaidi kwamba una bahati. Yote ni hali ya kiakili tu u
-
Tafakari ya kufikirisha 39/365-2025
Hakuna mtu ambaye anakufikiria wewe, usipoteze muda kubishana na watu ambao umekutana nao kwenye sehemu ya umma mfano mtu amekukanyaga kwenye daladala mkabishana baada ya hapo hata hakukumbuka by Anthony Pompliano
-
Tafakari ya kufikirisha 37/365
Hatutakiwi kudhibiti vikwazo au watu waliotuwekea vikwazo pale vilipo. Lakini tunatakiwa kujidhibiti wenyewe na hicho kitu kinachotosha by Ryan Holiday
-
Tafakari ya kufikirisha 36/365-2025
Kuwa mwanafalsafa siyo kuwa na andiko fulani la mawazo, wala siyo kwenda shule bali ni ule uwezo wa kutatua baadhi ya matatizo kwenye maisha, siyo kinadharia tu bali kwa vitendo by Henry David Thoreau
-
Tafakari ya kufikirisha 35/365-2025
Hatuchagui kitu gani kitutokee kwenye maisha yetu, lakini tunaweza kuchagua jinsi gani ya kufikiri kitu hicho. Ndio sababu kwenye maisha unaweza kujisikia vyovyote vile lakini kwa uzuri by Ryan Holiday.
Got any book recommendations?