Mindblown: a blog about philosophy.
-
Tafakari ya kufirikirisha 121/366-2024
Mara zote Mteja hajali kuhusu bidhaa yako ikoje.Yeye anajali tu bidhaa yako au huduma itafanya nini kwake au kumsaidiaje yeye Mwandishi nguli Brian Tracy anatushirikisha jambo hilo.
-
Tafakari ya kufikirisha 120/366-2024
Hauwezi kumfundisha mtu kitu chochote; bali unaweza kumsaidia kutambua ambacho kipo ndani tayari ndani yake tayari na kukiendeleza nguli wa Sayansi Galileo Galilei anatuelezea jambo hili kwa kina.
-
Tafakari ya kufikirisha 119/366-2024
Kuna kitu kinaitwa fikra mfadhaiko mfano Watu wajinga wanafikiri kufanya mazoezi ni kitu kisicho na maana.Wakati wakiwa na afya njema,wanafikiri ni kitu ambacho hawakiitaji.Lakini wakiumwa,watafanya kwa namna yeyote ile Mwandishi Shiv Khera anatushirikisha huo ni mfano wa fikra mfadhaiko.
-
Tafakari ya kufikirisha 118/366-2024
Uwekezaji ni kitu chepesi kwa sababu inatutaka sisi tuweke pembeni kiasi fulani cha fedha ili kiweze kukua kwa muda fulani.Lakini Uwekezaji ni kitu kigumu kwa sababu kinapingana na mahitaji ya asili ya Mwanadamu ya kutumia,kufurahi na kujiridhisha mahitaji haraka iwezekanavyo.
-
Tafakari ya kufikirisha 117/366-2024
Mtu ambaye anafanya kazi kutumia mikono huyo ni Mfanyakazi.Mtu anayefanya kazi kwa kutumia mikono na kichwa huyo ni fundi; lakini mtu anayefanya kazi,kutumia Mikono,Kichwa pamoja na Moyo wake huyo ni Msanii/Msanifu.Kama tunataka vitu vizuri kwenye maisha tunatakiwa kufanya na hamasa kama ya msanii kwani kupitia kuimba lazima kitu kianzie ndani yako mwenyewe Mt.Francis wa Asisi…
-
Tafakari ya kufikirisha 116/366-2024
Anzia pale ulipo, ukiwa na kitu tumia hicho kitu kufanya kitu kingine,baada ya hapo fanya kitu kingine zaidi.Ukiendelea kufanya Mara baada ya muda utaona umepata kitu zaidi. Ndio maana wahenga walituambia mwenda bure siyo sawa na mkaa bure.
-
Tafakari ya kufikirisha 115/366-2024
Kila kuchomoza kwa jua kunaleta fursa mpya na kila kuzama kwa jua kunaleta matokeo na uwajibikaji, hivyo kila jua likichomoza tunapaswa kuona kuna fursa mpya tumeipata iwe kwa kujifunza zaidi au ya kupiga hatua zaidi kwenye kufanya na linapozama kufanya tathmini Mwandishi bora wa kitabu hiki Shiv Khera anatushirikisha jambo hili kwenye kitabu chake cha…
-
Tafakari ya kufikirisha 114/366-2024
Mauzo kwa upande mwingine na kwa umuhimu ni kitendo cha kuamishwa kwa hisia, hauwezi kuamisha kitu ambacho hauna Mwandishi mbobezi ZigZiglar anatushirikisha jambo hili , mfano ni rahisi kumuamini daktari anayekuambia sigara ni mbaya na yeye havuti kuliko ambaye anavuta hii inakusaidia kuchukua hatua zaidi kwenye kile ambacho unakifanya mara zote.
-
Tafakari ya kufikirisha 113/366-2024
Ukosefu wa uwajibikaji binafsi umekuwa ugonjwa mkubwa. Kunyoosheana vidole na kulaumu wengine ni aina ya kushindwa kwa tabia ya uwajibikaji mwandishi Shiv Khera anatushirikisha kwenye kitabu chake cha unaweza kufanikiwa zaidi.Mfano umeenda kwenye Hoteli au Mgahawa ukaagiza chakula na Mhudumu akaleta oda tofauti na uliyoagiza badala ya kukubali amekosea atalaumu wa jikoni kwa nini haufuati…
-
Tafakari ya kufikirisha 112/366-2024
Mipaka ambayo tumejiwekea wenyewe ndio inayotuzuia.Siyo kitu cha kushangaza kuona rekodi nyingi zinawekwa na watu ambao wanaonekana ni wajinga ambao hawajajiwekea mipaka kuliko wale ambao wanaonekana werevu hata kwenye kufanya gunduzi mbalimbali kwenda nje ya mipaka kunakufanya kujaribu vitu vipya zaidi ya vile ulivyozoea kufanya kila siku Mwandishi Shiv Khera anatushirikisha jambo hili kwenye kitabu…
Got any book recommendations?