Category: Uncategorized

  • Tafakari ya kufikirisha 330/366-2024

    Thamani kubwa ya uzuri na njia ya utoshelevu wa maisha yanafikika kwa kutambua upekee wako. Hii ni wazi kuwa tunafanya makubwa kwa shauku/ kupenda endapo tunafanya vile ambavyo vinatupa upekee, tunafanya kwa vipaji vyetu,huku tukiwa tunajua uwezo wetu mkubwa tulioumbiwa by Jane Ford

  • Tafakari ya kufikirisha 329/366-2024

    Ukiwa na habari mbaya na Habari nzuri,toa Habari mbaya kwanza kwa sababu tunakumbuka zaidi tulipoishia kukiko tulipoanzia.Kwa hiyo mara zote weka kipaumbele cha kumaliza na Habari nzuri.

  • Tafakari ya kufikirisha 329/366-2024

    AKIBA= TABIA kuweka akiba hakutokani na kiasi cha kipato unachoingiza, bali tabia unayokuwa nayo. Kuweza kuweka akiba, jenga tabia ya kuweka akiba kwa msimamo bila kuacha by Dr. Makirita Amani

  • Tafakari ya kufikirisha 328/366-2024

    Vitu vitatu ambavyo unahitaji ni uwezo wa kutokata tamaa mpaka pale kitu hicho kitafanya kazi; Uwezo wa kuachana na kitu ambacho hakifanyi kazi na tatu uaminifu kwa watu wengine kukusaidia wewe kutofautisha vitu hivyo viwili by Kevin Kelly

  • Tafakari ya kufikirisha 327/366-2024

    Chukua kitu kimoja, kimoja zaidi lakini chukulia kwa umakini mkubwa sana kama, ndiyo kitu pekee ambacho kipo kilichobaki na kwa kuchukulia kitu hicho kwa umakini utaonyesha mwanga duniani by Kevin Kelly

  • Tafakari ya kufikirisha 326/366-2024

    Hali yako ya ndani inakutambulisha hali yako ya nje. Muonekano wako wa nje unakutambulisha hali yako au matokeo ya nje na matokeo yako ya nje yanaamua baadae yako by ZigZiglar

  • Tafakari ya kufikirisha 325/366-2024

    Ukiwasamehe watu hawawezi kutambua huo msamaha bali utakuwa umewaponya. Kusamehe siyo kitu ambacho tunakifanya kwa ajili ya watu wengine ni zawadi kwa ajili yetu wenyewe by Kevin Kelly

  • Tafakari ya 324/366-2024

    Kama wewe ni mtu bora zaidi katika chumba ulipo, upo kwenye chumba ambacho si sahihi,Achana na hao watu na nenda kajifunze kwa watu bora zaidi kuliko wewe. Hata kama unajiona uko bora tafuta watu bora zaidi ambao watapingana na wewe by Kelvin Kelly

  • Tafakari ya kufikirisha 323/366-2024

    abia ni kitu cha kutegemewa zaidi kuliko hamasa. Piga hatua kwa kufanya tabia. Usipoteze muda kwenye umbo au kutaka kuwaje. Weka umakini katika kufikia au kuwa mtu ambaye hatching kufanyia kazi, kile ambacho unataka kuwa by Kevin Kelly

  • Tafakari ya kufikirisha 322/366-2024

    Jifunze jinsi ya kujifunza kutoka kwa ambao hawakubaliani na wewe au hata ambao wanakuchukia. Angalia jinsi gani unaweza kuona ukweli kwenye kile ambacho wao wanakiamini by Kevin Kelly