Category: Uncategorized
-
Tafakari ya kufikirisha 34/ 365-2025
Kipaji ni ule uwezo wa kuweka kwenye vitendo kile kitu ambacho kipo kwenye akili yako. Hakuna tafsiri nyingine zaidi ya hiyo by F.Scott Fitzgerald
-
Tafakari ya kufikirisha 33/365-2025
Tango ni chungu? Kinachofuata litupe.Kuna michongoma kwenye njia? Tafuta njia nyingine. Ni hayo unapaswa kuyajua by Marcus Aurelius
-
Tafakari ya kufikirisha 31/365-2025
Katika maisha yetu ni lazima tutakutana na vitu viwili tu kuchakaa au kupata kutu, kila mmoja wetu. Chaguo langu ni kuchakaa by Theodore Roosevelt
-
Tafakari ya kufikirisha 30/365-2025
Haijalishi ni wakati bora au siyo wakati bora kuishi, haijalishi uko kwenye kazi au soko nzuri au baya, au kikwazo unachokabiliana nacho kinakutisha au kukubebesha mzigo.Kinachojalisha ni wakati uliopo ndio uliopo kabiliana nao, usipoteze siku kwenye maelezo by Emerson.
-
Tafakari ya kufikirisha 29/365-2025
Kitu ambacho mtu anakihitaji siyo ujasiri bali udhibiti wa neva, kichwa chenye utulivu. Hiki ni kiti ambacho kinapatikana kupitia kufanya peke yake by Theodore Roosevelt
-
Tafakari ya kufikirisha 28/365-2025
Chagua kutoumizwa na hautoumizwa. Usijisikie kama umeumizwa na hapo hautakuwa umeumizwa by Marcus Aurelius.
-
Tafakari ya kufikirisha 27/365-2025
Pale mtu unapopanga kufanikiwa na kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako, ndipo vikwazo vya kila aina vinaibuka. Hii ni njia ya dunia kukupima kama kweli umejitoa kufanikiwa zaidi. Dunia inampisha yule ambaye anajua wapi anapokwenda, mtu ambaye hakati tamaa wala kurudishwa nyuma na magumu anayopitia by Ralph Waldo Emerson.
-
Tafakari ya kufikirisha 26/365-2025
Maisha ni yale ambayo yanakutokea wakati ukiwa na umakini katika kufanya mipango yako mingine katika maisha by John Lennon
-
Tafakari ya kufikirisha 24/365 -2025
Mtu mwenye sababu kwa nini anaishi au kujua kusudi lake anaweza kuvumilia chochote kile kwa gharama yeyote ile
-
Tafakari ya kufikirisha 23/365-2025
Njia bora ya kujitambua wewe mwenyewe ni kuangalia kwa umakini kila kitu ambacho kinakuumiza wewe kupitia kwa wengine kwa kufanya au kukiona kitu hicho by Kevin Kelly