Category: Uncategorized
-
Tafakari ya kufikirisha 20/366-2024
Kila mtu unayekutana nae kuna jambo analijua hivyo mchukulie kama mtu maarufu kwa sababu kuna cha kujifunza ambacho haukijui ambacho mtu huyo anakijua kitu ambacho kinakusaidia kujifunza na kuchukua hatua zaidi nukuu toka kwa Brown Junior.
-
Tafakari ya kufikirisha 19/366-2024
Mara zote kama unataka kuwa na bahati kwenye maisha yako, kuwa mtu wa kufanya hata kama kwa hatua ndogo. Mara zote fanya, ukipata matokeo sahihi endelea kufanya na ukikosa matokeo yaliyo sahihi boresha na rudia tena kufanya tena. Hivi ndivyo matokeo makubwa yanavyojengwa kwenye maisha, kwa kufanya bila kuacha. Tafiti zinaonesha watu ambao hawawezi kukaa…
-
Tafakari ya kufikirisha 18/366-2024
Kuna wakati utaona kama umekwama,kuna wakati utaona haya mambo ya ushindi ni kama maigizo kwako. Kuna wakati utaona kila juhudi unayoweka haileti tofauti yoyote. Huu ndio wakati muhimu sana unapohitaji kujiamini kwa sababu bila hivyo utakata tamaa na ukikata tamaa ndio umejiondoa kwenye safari ya ushindi
-
Tafakari ya kufikirisha 17/366-2024
Kwa kila ushauri unaoupata kutoka kwa wengine, usikimbilie tu kuufanyia kazi, hata kama ushauri huo umekuwa na manufaa kwao.Unapaswa kujitathmini kwanza hatua uliyopo sasa na kule unakotaka kufika. Kisha jiulize kama ushauri unaopewa ni wa jumla au maalumu kwako.Kuna wakati mtu unaweza kufanyia kazi ushauri unaopata na ukazidi kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.Hiyo inatokana…
-
Tafakari ya kufikirisha 16/366-2024
Kwenye mafanikio, gharama kubwa ni kutoa kafara. Hapo ni kuachana na vitu vizuri na unavypenda lakini ni kikwazo kwako kupata mafanikio makubwa unayotaka. Kuondokana na hilo kuwa tayari kulipa kila aina ya gharama unayopswa kulipa ili kupata unachotaka. Toa kafara ya kila kitu ili upate mafanikio makubwa unayotaka. mfano kama unataka kupungua uzito lazima utoe…
-
Tafakari ya kufikisha 15/266-2024
Kitu kimoja kikubwa kinachowafanya watu kitu kwa ubora ni kwa sababu hawategemei kushinda. Wanaona ni sehemu tu ya kawaida na hivyo kufanya kawaida.Sasa kuanzia leo acha kufanya mambo kwa njia hii. Kila unachofanya, tegemea kushinda ,hata kama ni kitu kigumu,hata kama ni kitu kipya kwako, tegemea kushinda. Na mategemeo hayo yatakusukuma wewe kwenda hatua ya…
-
Tafakari ya kufikirisha 14/366-2024
Jambo moja la kushangaza kuhusu sisi binadamu ni hili, tupo tayari kumpa kila mtu mudawetu ila hatupo tayari kujipa muda huo sisi wenyewe, Mtu ataamka asubuhi na haraka sana anakimbilia kwenye mitandao na kupata habari, akitoka hapo anakutana na wengine ambazo wataanza kumweleza mambo mbalimbali ambayo hata siyo muhimu kwake. Atatumia kubishana kuhusu michezo, siasa…
-
Tafakari ya kufikirisha 13/366- 2024
Ushindi tunaoutaka kwenye maisha sio kama mbio ambapo mmoja akishinda wengine wote hamna tena nafasi ya kushinda kwenye mbio hizo mlizoshiriki kwenye wakati husika. Ushindani wetu kwenye maisha ni mbio nyingi ambazo kila mmoja wetu anajua anakimbia kuelekea wapi. Katika mbio hizi nyingi ndio kila mmoja wetu anaweza kushinda kulingana na uwezo wake tofauti na…
-
Tafakari ya kufikirisha 12/366- 2024
Mahusiano ndio kila kitu. Kila kitu ulimwenguni ambacho kipo ni kwa sababu ya kinahusiana na kitu kingine. Hakuna kitu ambacho kipo kinajitegemea chenyewe. Tunatakiwa kuacha kuigiza tuko peke yetu na kwamba tutakwenda navyo vitu peke yetu by Margaret Wheatley
-
Tafakari ya kufikisha 11/366,2024
Mara zote kumbuka kubishana na kushinda ni kumkatisha tamaa ukweli wa kile ambacho anakiamini yule unayebishana nae. Inauma kupoteza kile unachoamini , kwa hiyo kuwa mwema hata kama uko sahihi mara zote kwenye mabishano