Category: Uncategorized
-
Tafakari ya kufikirisha 64/366-2024
Kile ambacho ukiwa na changamoto ya afya au ugonjwa unaambiwa usifanye ndio ambacho unatakiwa kufanya muda wote kama ukiumwa unaambiwa kula chakula chenye virutubisho vyote ndio vitu ambavyo unatakiwa kufanya mara zote, ukiambiwa unatakiwa kufanya mazoezi wakati unaumwa basi ndio kitu ambacho unapaswa kufanya mara zote ukiambiwa baadhi ya chakula uache au vinywaji fulani uache…
-
Tafakari ya kufirikisha 63/366-2024
Uwekezaji haujalishi kiwango cha elimu uliyochonacho kwa sababu nina marafiki wengi ambao wana elimu kubwa lakini wako uelewa uliofungwa kwenye Uwekezaji. Kila anatakiwa kujaribu na kujua uwekezaji ni nini na kipi siyo uwekezaji. Hakuna mtu ambaye hana kitu cha kuwekeza nukuu toka kwa Strive Masiyiwa.
-
Tafakari ya kufikirisha 62/366-2024
Kama unataka kufanikiwa unatakiwa kuweka umakini kwenye vile vitu ambavyo unaweza kuvifanya kuliko vile ambavyo hauwezi kuvifanya,changamoto kubwa imeanzia kwenye jamii ,wazazi na shule mfano mzazi anaweza kumlaumu mtoto kwa masomo aliyoshindwa badala ya kumuongezea nguvu na pongezi kwa yale ambayo ana uwezo mkubwa ndani yake ili aweze kuwa bora zaidi. Kwenye vile ambavyo unavijua…
-
Tafakari ya kufikirisha 61/366-2024
Kuna tofauti kati ya hamasa na kujitoa. Ukiwa na hamasa ya kufanya kitu unafanya kwa kadri unavyoona inafaa. Ukiwa umejitoa kufanya kitu,unakubali kufanya bila kutoa sababu yoyote unachowaza wewe ni matokeo tu, hivyo kwenye kufanya kitu kujitoa ni kitu kikubwa sana kwenye kufikia mafanikio makubwa mara zote.
-
Tafakari ya kufikirisha 60/366- 2024
Hamasa ni bora kuliko mipango. Hamasa inachochea moto wa kufanya.Kama hamasa ipo haijalishi kushindwa au utashindwa mara ngapi. Ukiwa na hamasa hata kama wengine watasema utashindwa wewe utaendelea.Watu wenye hamasa hawakati tamaa mpaka wafanikiwe nukuu toka kwa John Maxwell.
-
Tafakari ya kufikirisha 59/366-2024
Mafanikio kwenye maisha hayaamuliwi na kitu gani tunafanya kulinganisha na watu wengine, bali ni kulinganisha kile ambacho tunafanya na kile ambacho tungepaswa kufanya kutokana na uwezo wetu nukuu toka kwa Shiv Khera, hapa Mwandishi anatuonesha kwamba tunapaswa kujilinganisha na uwezo wetu mkubwa ambao uko ndani yetu utatusaidia katika kufikia mafanikio makubwa siku zote.
-
Tafakari ya kufikirisha 58/366-2024
Kuna aina mbili za watu duniani, watu ambao wanataka vitu vifanyike na watu ambao hawataki kukosea au kufanya makosa ,hivyo mara zote kwa chochote unachofanya angalia unaangukia wapi kwenye maamuzi au kile ambacho unakifanya au unatarajia kukifanya by John Maxwell.
-
Tafakari ya kufikirisha 57/366-2024
Kitu kigumu kuhusu mafanikio ni kutakiwa kubaki kwenye mafanikio.Kipaji ni kitu cha kuanzia tu kwenye biashara. Unatakiwa kuendelea kufanyia kazi kipaji hicho ili kuweza kufikia mafanikio makubwa na kuendelea kubaki nacho by Irving Berlin hapa Mwandishi anatuonesha kwamba lazima kuweka kazi na kuendelea kuweka kazi mara kwa mara ili kuweza kuchukua hatua na kufikia mafanikio…
-
Tafakari ya kufikirisha 56/366-2024
Baraka ipo kwa mtu ambaye hana matarajio yoyote,kwa mtu kama huyo hawezi kukatishwa tamaa.Kama unataka kufanikiwa kwenye maisha uwe tayari kukatishwa tamaa by Benjamin Franklin lengo kubwa la mwandishi ni kuonyesha nguvu ya kufanya kama unafanya kitu ikitoka ndani yako unapaswa kuendelea kufanya tu na matokeo yatakuja yenyewe kutokana na vitendo bila kutegemea au kuweka…
-
Tafakari ya kufikirisha 55/366-2024
Kwa yeyote ambaye anasema fedha hainunui furaha kwa kifupi anakuwa hajui wapi kwa kwenda kuinunua hiyo furaha nukuu toka Bo Berek, kikubwa ambacho mwandishi anakizungumzia ni kuhusu ni kuwa na mtazamo wa utele badala ya kuwa na mawazo na utele linapokuja suala la fedha.