Maisha yatawaumiza baadhi ya watu kwa namna fulani na kuwasaidia wengine. Unapaswa kuwa tayari kupokea mapigo ya maisha kama yanavyokuja. Hivyo ndivyo maisha yalivyo na siyo kulalamika muda wote, kwani kulalamika ni moja ya kitu ambacho kinachukua nguvu zetu zaidi na kuwapa wengine ukuu wetu.
Tafakari ya kufikirisha 29/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply