Mabadiliko yanazalisha watu wa aina tatu, mabadiliko lazima yatokee na kwa vyovyote vile mabadiliko yanaacha athari ambazo zinaweza kuwa chanya au hasi. Mabadiliko yoyote huzalisha makundi matatu ya watu, makundi hayo ni watu watu wanaonufaika na mabadiliko yoyote, watu ambao wanaamshwa na mabadiliko na watu ambao wanaachwa na mabadiliko.Kwa mabadiliko yoyote tathmini umeangukia kwenye kundi gani ili kuchukua hatua baada ya mabadiliko hayo kutokea.
Tafakari ya kufikirisha 28/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply