Tafakari ya kufikirisha 259/365

Kila kitu ambacho kinaonekana sasa, kilianza kama wazo kwa Mtu, kisha wazo hili likajengewa taswira ya kitu kilichokamilika, Halafu Mtu akachukua hatua ya kukamilisha taswira hiyo. Ili uweze kupata matokeo makubwa, juhudi pekee hazitoshi, bali unahitaji kujiona tayari umeshafanikiwa kwenye akili yako nukuu na Napeleon Hill























Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *