Kama unataka kufanikiwa kwenye maisha lazima upende sana kile ambacho unakifanya.Lazima uwe tayari kukifanya kwa hamasa kubwa hata kama wengine hawafanyi hivyo. Na lazima uwe tayari kufanya hata kama wengine wanakukatisha tamaa, kukubeza nau kukucheka.
Tafakari ya kufikirisha 333/365
by
Tags:
Leave a Reply