Tafakari ya kufikirisha 70/365-2025

Mambo yanabadilika, hata kama ní kidogokidogo Ní rahisi kuona mambo yapo vile vile kwa sababu mabadiliko yanatokea kidogokidogo sana. Lakini ukweli ní kwamba mambo yanabadilika, mambo hayapo kama yalivyokuwa mwanzo. Chochote unachojua kuhusu duniani leo, miaka kumi ijayo kitakuwa siyo sahihi, hivyo uelewa iliyokuwa nao kuhuis dunia miaka 10 iliyopita, sasa hivi siyo sahihi. Hivyo kila mara hakikisha unajifunza na kuona mambo yanavyokwenda by Dr. Hans Rosling


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *