Tafakari ya kufikirisha 69/365-2025

Huwa tunashiriki mchezo wa kulaumu, kwa kuangalia Mtu wa kumnyooshea kidole ambaye anahusika na kile ambacho kimetokea. Lakini kwenye kila tunacholaumu, tunajionyesha sisi zaidi kuliko hata wale tunaowalaumu. Tunapenda kuangalia wengine kwa sababu, ili kuthibitisha imani ambazo sisi tunazo juu ya wengine. Hivyo unapolaumu, jua shida siyo yule unayemlaumu, bali wewe unayelaumu ndiye mwenye shida, hasa kama hujaelewa vizuri kile kilichotokea by Hans Rosling


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *