Tafakari ya kufikirisha 59/365-2025

Sababu hazizalishi akili yeyote. Hata kama kuna kuna tabia haukuwahi kuijenga siyo kigezo cha kutoanza upya sasa. Ondoa vikwazo na anza kuchukua hatua kwani kitu unachofanya kila siku kidogokidogo kinaleta matokeo makubwa baada ya muda by Robin Sharma


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *