Kwenye mafanikio, gharama kubwa ni kutoa kafara. Hapo ni kuachana na vitu vizuri na unavypenda lakini ni kikwazo kwako kupata mafanikio makubwa unayotaka. Kuondokana na hilo kuwa tayari kulipa kila aina ya gharama unayopswa kulipa ili kupata unachotaka. Toa kafara ya kila kitu ili upate mafanikio makubwa unayotaka. mfano kama unataka kupungua uzito lazima utoe kafara ya muda wa kulala na kuamka mapema kama unataka kufanya mazoezi Asubuh, kama unataka kua mbobezi kwenye jambo fulani lazima utoe kafara ya kujifunza zaidi masaa ya ziada
Tafakari ya kufikirisha 16/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply