Tafakari ya kufikirisha 9/365-2025

li uweze kuona mambo mazuri, unapaswa kuamini mambo ni mazuri.Na sehemu rahisi ya kuamini mambo ni mazuri ni kuwa mtu wa shukrani.Pale unaposhukuru kwa mambo yanayoendelea kwenye maisha yako, unaifanya akili yako itafute mambo mazuri zaidi ambayo utashukuru kuwa nayo. Epuka sana kuwa mtu wa kulaumu na kulalamika, kwani utaona mambo mengi zaidi ya kulaumu na kulalamika.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *