Thamani kubwa ya uzuri na njia ya utoshelevu wa maisha yanafikika kwa kutambua upekee wako. Hii ni wazi kuwa tunafanya makubwa kwa shauku/ kupenda endapo tunafanya vile ambavyo vinatupa upekee, tunafanya kwa vipaji vyetu,huku tukiwa tunajua uwezo wetu mkubwa tulioumbiwa by Jane Ford
Tafakari ya kufikirisha 330/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply