Kama una lengo basi liandike.Usipoliandika basi hauna lengo bali una matamanio. Chochote
ambacho unafikiri hakiwezi kuwa lengo mpaka kiwe kimeandikwa na kukaa kwenye mpango kazi na hapo ndio malengo yanahesabika by Steve Maraboli
Tafakari ya kufikirisha 319/366-3024
by
Tags:
Leave a Reply