Kabla hujasumbuka na maoni ambayo wengine wanayatoa,Angalia kwanza wao wenyewe wako wapi. Kama wako chini ya maoni hayo, watakatisha tamaa kwa sababu mara zote wanakuwa na maoni hasi. Kama wapo juu, watatia moyo kwa sababu wao wanakuwa wameshafanya. Usiwasikilize watu bila kujua maoni yao yanatokea chini au juu by Dr. Makirita Amani. Mfano mtu ambaye ameweka akiba ya shs 10000 kila mwezi mfululizo kwa miaka 10 utamsikiliza zaidi kuliko anayesema haiwezekani.
Tafakari ya kufikirisha 215/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply