Tafakari ya kufikirisha 180/366-2024

Maisha ya furaha ni pale unapojua kilicho ndani ya uwezo wako na kilicho nje ya uwezo wako.Ukifuata kauli hiyo hutapata msongo kabisa.Kwa chochote kinachotokea, jiulize je kipo ndani ya uwezo wako, kama ndiyo basi chukua hatua na hakuna msongo.Kama jibu ni hapana, hakipo ndani ya uwezo wako basi unapaswa kukikubali kama kilivyo na kuendelea na mengine,msongo hautasaidia Mwanafalsafa Epictetus anatushirikisha jambo hili.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *