Usifanye kitu kwa sababu tu umeshakubali kufanya au umekuwa unakifanya, bali fanya kitu kwa kutathmini kama ni muhimu na sahihi kwako kufanya.Usiogope kuvunja msimamo wako pale mambo yanapokwenda tofauti na ulivyotegemea.
Tafakari ya kufikirisha 171/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply