Kuna tofauti kati ya kupenda kitu na kujitoa. Ukiwa unapenda kufanya kitu unafanya ukijisikia.Wakati ukijitoa kufanya kitu haupokei sababu bali matokeo tu, mfano wewe unataka kufanya mazoezi kila Asubuh ndio matokeo yako hautahangaika na hali ya hewa ,ndio maana unaweza kwenda mkoa wenye baridi ukasema haufanyi mazoezi lakini ukienda barabarani utakuta watu wanakimbia ndio tofauti ya kupenda na kujito
Tafakari ya kufikirisha 161/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply