Hakuna mtu yeyote hata awe bora kiasi gani ukipitia changamoto yeyote ile jua kuna watu watafurahi, watu watafurahia na kuweka maneno kama alikuwa anajidai sana au alikuwa anaringa sana au alizidi ni vile watu wameona ni njia rahisi ya kulingana nao ishi maisha yako maana hata watu uliwatendea mema wanaweza kukucheka pia Mwanafalsafa Marcus Aurelius anatushirikisha jambo hili.
Tafakari ya kufikirisha 147/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply