Tafakari ya kufikirisha -02-2024
Pale unapoona watu wamepiga hatua fulani kwenye maisha yao, siyo kwa sababu ndiyo wamekuwa bora kuliko walivyokuwa huko nyuma.Bali wanakuwa fursa ya kudhihirisha uwezo mkubwa ambao tayari upo ndani yao. Ni asili ya Binadamu kwamba watu huwa hawabadiliki.Hivyo chochote unachokiona kama mabadiliko kwa mtu, ni anakuwa tu amechoka kuigiza na kuamua kuwa halisi kwao.Kumbuka hili mara zote na usishangazwe na watu
by
Tags:
Leave a Reply