Ni rahisi kupinga mwanzoni kuliko mwishoni,ndio maana hata ukianza kufanya kitu mwanzoni lazima utapata ugumu lakini baadae dunia itakupisha mfano ukianza kutengeneza tabia ya kuamka mapema mwanzoni utapata ugumu toka kwenye mwili wenyewe lakini baadae mwili utazoea wenyewe.
Tafakari ya kufikirisha 139/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply