Tafakari ya kufikirisha 117/366-2024

Mtu ambaye anafanya kazi kutumia mikono huyo ni Mfanyakazi.Mtu anayefanya kazi kwa kutumia mikono na kichwa huyo ni fundi; lakini mtu anayefanya kazi,kutumia Mikono,Kichwa pamoja na Moyo wake huyo ni Msanii/Msanifu.Kama tunataka vitu vizuri kwenye maisha tunatakiwa kufanya na hamasa kama ya msanii kwani kupitia kuimba lazima kitu kianzie ndani yako mwenyewe Mt.Francis wa Asisi anatushirikisha jambo hili.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *