Akili iliyotulia ni bora zaidi kuliko elimu ya juu, sifa za kitaalamu,ujuzi na uzoefu ambavyo viko pamoja. Kinachotakiwa kufanikiwa kwenye maisha ni uwiano kati ya akili na hisia Shiv Khera anasisitiza jambo hilo kwenye kitabu chake cha Unaweza kufanya zaidi.
Tafakari ya kufikirisha 103/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply