Tafakari ya kufikirisha 91/366-2024

Matatizo yote tunayokutana nayo yanaangukia kwenye makundi matatu i. ambayo tuna udhibiti nayo ambayo yanahusisha tabia zetu binafsi, ii. Ambayo hatuna udhibiti nayo yanayohusisha tabia za wengine na iii.Ambayo hatuna udhibiti nayo ambayo hatuwezi kufanya chochote ambayo yanahusisha vitu vilivyopita au hali halisi tunayokabiliana nayo kwa muda husika. Njia sahihi ya kukabiliana nayo ni kama hatua ya kwanza ni kuyaweka matatizo yote kwenye wakati uliopo unatuzunguka ili kuweza kuyatatua Mwandishi Stephen R. Covey anatushirikisha kwenye kitabu chake cha tabia saba za watu wenye ufanisi.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *