Tafakari ya kufikirisha 84/366-2024

Kujiamini siyo kitu ambacho kipo vile vile muda wote; kinabadilika kutokana na uwiano kati ya kufanikiwa na kushindwa. Wote kuna nyakati tulishindwa na kukatishwa tamaa ambapo wakati huo tulipunguziwa uwezo wetu wa kujiamini .Ukikubaliana na hiyo hali hautakata tamaa kwa kila unachojaribu pale unapoona kama hauna uwezo mwandishi John Maxwell anatushirika jambo hilo kuhusu kujiamini kwenye kitabu chake cha kuwa mtu wa watu.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *