Mwandishi Nguli Robert Kiyosaki Anasema mara nyingi amekuwa akiulizwa Ardhi na Majengoni Uwekezaji bora?Hisa na vipande ni uwekezaji bora? Na jibu lake huwa Hakuna Uwekezaji Salama. Bali kuna Wawekezaji makini. Je wewe ni mwekezaji bora? Hakuna uwekezaji bora kama wewe ni mjinga,hata kwenye dhahabu.Unaweza kupoteza fedha kwa kufanya uwekezaji hata kwenye dhahabu na shaba. Mara zote lazima kwa chochote unachotaka kukifanya ujifunze hakuna uwekezaji bora kama uwekezaji ndani yako kwanza mwenyewe
Tafakari ya kufikirisha
by
Tags:
Leave a Reply