Tafakari ya kufikirisha 68/366-2024

Muda mwingi ambao unapotea ni muda wa kujiandaa kuanza, na hapo ndipo ambapo panawafanya watu kuchelewa kuchukua hatua kwenye maisha kwa kiasi kikubwa na kujikuta hawajaanza mara zote.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *