Kile ambacho ukiwa na changamoto ya afya au ugonjwa unaambiwa usifanye ndio ambacho unatakiwa kufanya muda wote kama ukiumwa unaambiwa kula chakula chenye virutubisho vyote ndio vitu ambavyo unatakiwa kufanya mara zote, ukiambiwa unatakiwa kufanya mazoezi wakati unaumwa basi ndio kitu ambacho unapaswa kufanya mara zote ukiambiwa baadhi ya chakula uache au vinywaji fulani uache basi jua hicho ndio kitu ambacho unapaswa kufanya mara zote.
Tafakari ya kufikirisha 64/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply