Tafakari ya kufikirisha 57/366-2024

Kitu kigumu kuhusu mafanikio ni kutakiwa kubaki kwenye mafanikio.Kipaji ni kitu cha kuanzia tu kwenye biashara. Unatakiwa kuendelea kufanyia kazi kipaji hicho ili kuweza kufikia mafanikio makubwa na kuendelea kubaki nacho by Irving Berlin hapa Mwandishi anatuonesha kwamba lazima kuweka kazi na kuendelea kuweka kazi mara kwa mara ili kuweza kuchukua hatua na kufikia mafanikio makubwa na kuendelea kuyadhibiti.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *