Tafakari ya kufikirisha 56/366-2024

Baraka ipo kwa mtu ambaye hana matarajio yoyote,kwa mtu kama huyo hawezi kukatishwa tamaa.Kama unataka kufanikiwa kwenye maisha uwe tayari kukatishwa tamaa by Benjamin Franklin lengo kubwa la mwandishi ni kuonyesha nguvu ya kufanya kama unafanya kitu ikitoka ndani yako unapaswa kuendelea kufanya tu na matokeo yatakuja yenyewe kutokana na vitendo bila kutegemea au kuweka matarajio bila vitendo.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *