Ugumu unauona kabla ya kuanza kitu huwa tofauti kabisa na uhalisia wa baada ya kuanza kufanya.Kinachoonekana kutokuwezekana kabisa kabla ya kuanza,kinawezekana baada ya kuanza. Anza kufanya kila unachopanga, tena anza kufanya ukiwa na moto wa kupanga.Usijali sana utaendeleaje, kwa sababu utalivuka daraja pale unapolifikia.Anza na kukabiliana na kila linalokuja mbele yako. Hivyo ndio njia ya uhakika ya kufanya makubwa kwenye maisha yako. Wajibu wako mkuu unapaswa kuwa ni kuanza kufanya
Tafakari ya kufikirisha 45/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply