Mara zote kuwa na mtazamo wa mwanafunzi, usijione mkubwa kushindwa kuuliza maswali, kamwe usijione unajua sana ili uweze kujifunza kitu kipya mara zote hii itakusaidia kuongeza maarifa mengi zaidi na kuwa tayari kujifunza mara zote.
Tafakari ya kufikirisha 43/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply