Lengo kuu la kuanzisha biashara ni kuwa na mwendelezo, kuwa na chanzo cha uhakika cha mzunguko wa fedha ili kuzidi au kukidhi gharama na matumizi ili baadae uweze kuzishikilia fedha nukuu toka kwa mwandishi Brian Tracy Mtaalamu wa masuala ya Uongozi , hapa tunapata funzo kubwa kwenye biashara kwamba ni kitu ambacho kinafanya muendelezo wa fedha kwa hiyo ni muhimu kufanya muendelezo wa biashara ili kuwez kupiga hatua zaidi na kushikilia kipato ambacho tunakipata.
Tafakari ya kufikirisha 40/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply