Moja ya changamoto ya wasiwasi ambao unapelekea magumu unatokana na kutotambua tatizo mapema kabisa kabla halijatokea, hivyo kupitia kutambua tatizo mapema kunakusaidia katika kuepuka na changamoto na kukabiliana na hatari ambazo zinaweza kumtokea mtu kabla hajakutana na changamoto kubwa.
Tafakari ya kufikirisha 39/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply