Kama una wazo lá kitu kikubwa ambacho ukikifanya kitafanya maisha yako kuwa bora, lakini watu wakakucheka, wakakuambia huwezi au haiwezekani, hivyo ni kiashiria kwamba wazo ni bora. Hivyo hakikisha unalitekeleza kama wengine, jijue na ishi maisha ya uhalisia wako by Jim Rogers
Tafakari ya kufikirisha 51/365-2025
by
Tags:
Leave a Reply