Tafakari ya kufikirisha 329/366-2024

Ukiwa na habari mbaya na Habari nzuri,toa Habari mbaya kwanza kwa sababu tunakumbuka zaidi tulipoishia kukiko tulipoanzia.Kwa hiyo mara zote weka kipaumbele cha kumaliza na Habari nzuri.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *