Tafakari ya kufikirisha 315/366-2024

Jilinganishe na ulivyokuwa jana, siyo kujilinganisha na wengine walivyo leo. Kosa kubwa unaloweza kufanya kwenye maisha yako, ni kujilinganisha na mtu mwingine yeyote, awe yupo juu yako,chini yako au sawa na wewe. Mtu pekee wa kujilinganisha naye ni wewe mwenyewe, kama leo umefanya kwa ubora kuliko jana unapiga hatua,kama umefanya kama jana unarudi nyuma,kama umefanya chini ya ulivyofanya jana hujui unachofanya by Peter Jordan


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *