Mabadiliko madogo ya namna unavyofikiri yanaweza kupelekea Mabadiliko makubwa kwenye matokeo ya mwisho .Hivyo kwa chochote unavyotaka kufanya huhitaji kuanza na mabadiliko makubwa sana bali hata kubadili kauli chanya unazotamka zinaweza kuvutq fursa kuelekea mabadiliko,jitamkie tu hata neno wewe mshindi au mtu mwenye mafanikio na utaona unaanza kupata ushindi mdogo mdogo kuanzia hapo ulipo by Kevin Michel
318/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply