Tafakari ya kufikirisha 207/366-2024

Kuna watu wanajifunza kutokana na makosa ambayo yamefanywa na watu wengine. Ni watu wenye hekima. Watu wengine wanafikiri uzoefu wa kweli unatokana na uzoefu wa mtu binafsi. Kuna watu wanavumilia maumivu na masononeko yasiyohitajika kwenye maisha yao yote kwa kutotaka kujifunza kwa wengine.Maandishi ni moja ya sehemu mojawapo ya kujifunza makosa yaliyofanywa na watu wengine ili kutoyarudia.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *