Matatizo mengi madogo madogo kwenye maisha ambayo yanatusumbua sana yapo chini ya shilingi milioni moja.Ndio maana mara nyingi watu wamekuwa wakikopa pesa ndogo chini ya millioni moja ili kukabiliana na changamoto za dharura ambazo zimekuwa zikijitokeza mara kwa mara na hivyo kupelekea changamoto za madeni kuzidi kujitokeza kwenye maisha” mfano fuatilia mikopo mingi ya mtandaoni na kausha utaona inaangukia hapa Nukuu toka kitabu cha JILIPE MWENYEWE KWANZA by Eng.Tindwa Martin
Tafakari ya kufikirisha 202/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply