Tafakari ya kufikirisha 200/366-2024

Furaha haitokani na kufikia mafanikio fulani. Bali inatokana na kufikiria mawazo fulani na kujisikia hisia fulani. Furaha siyo kitu kikubwa bali ni hali ya akili ambayo watu wanaitengeneza na kuitafsiri mfano unaweza kukutana timu fulani haijapata mafanikio ya kuchukua kombe wakafurahi kupiga chenga au mchezaji wao kafunga goli wamechagua kitu cha kuwapa furaha kwa tafsiri yao.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *