Tafakari ya kufikirisha 198/366-2024

Mahitaji ya msingi kabisa ya maisha ni rahisi kupata, Chakula, Malazi na Mavazi,lakini pale tunapotaka vitu hivyo vile anasa,viwe kwa ajili ya kuonekana na siyo kwa ajili ya kuishi,hapo ndipo maisha yanapokuwa magumu. Kwa mfano unavaa nguo kwa ajili ya kujisitiri,hutajali sana nguo gani unavaa,lakini pale unapovaa kwa ajili kuonekana na wengine ndipo unapoanza kujitesa , unafikiria uvae nguo ipi, au kuingia gharama kununua nguo ambazo huhitaji ili tu na wewe uonekane una nguo hizo au kula aina fulani ya chakula Mwanafalsafa Marcus Aurelius anatushirikisha jambo hili.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *