Tafakari ya kufikirisha 191/366-2024

Je unajua sifamojawapo ya mtu anayejiheshimu, Anatakiwa kulipa madeni yake haraka iwezekanavyo, hatakiwi kununua kitu asichoweza kumudu kwenye kitabu cha mtu Tajiri wa Babiloni tunasisitizwa jambo hili ni mara ngapi umekutana na mtu analalamikia kitu alichonunua kama ni simu inamaliza kifurushi,gari inakula mafuta na vitu vingine ambavyo amenunua mwenyewe ndio maana kitu chochote kabla ya kununua unashauriwa kutumia kanuni ya kuzidisha mara mbili hapo utaona kama unamudu au la.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *