Tafakari ya kufikirisha 187/366-2024

Ukijilinganisha siku zote utakosa furaha, kwenye kila kitu unachofanya siku zote kuna watu watakuwa wamekuzidi kitu cha msingi cha kuangalia ni kujilinganisha wewe wa jana na leo kwenye chochote unachofanya au kuwa nacho lazima utakutana na mtu amekuzidi mfano ukiwa na baiskeli utakuta watu wanapikipiki,ukiwa na pikipiki utatamani gari,ukifika kwenye gari na utakuta watu wana magari zaidi ya lile ulilonalo wewe kitu cha muhimu jilinganishe jana na leo na kama umepiga hatua hata ndogo jipigie makofi.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *