Kitu kilichopita ni kama pango na inakuwa haina maana kutumia maisha yako kuishi kwenye pango. Kila mwisho unaashiria mwanzo mpya au kuanza kwa njia nyingine, hauwezi kwenda mbele kwenye maisha au mwendo kama unabaki na kuangalia kioo cha nyuma.
Tafakari ya kufikirisha 184/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply