Tafakari ya kufikirisha 181/366-2024

Kila unayekutana naye kuna vitu anajua, uzoefu alionao na mtazamo alionao ambao ni tofauti kabisa na wewe.Badala tu ya kuamini wewe ndiyo uko sahihi au kujua zaidi, chukua muda na kuwa tayari kujifunza kupitia watu hao.Hata kwa walioshindwa na wanaokosea, una mengi ya kujifunza, kubwa ni kutokufanya wanayofanya.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *